Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Julai 17,2025 jijini Dodoma.
Hayo yamebainishwa na Fredy Msemwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Julai 15, 2025 alipozungumza na Waandishi wa Habari jijini Dodoma.
Aidha, kabla ya taarifa hiyo Msemwa aliyaelezea majukumu ya Tume ya Taifa ya Mipango iliundwa na serikali kwa sheria ya Tume ya Mipango ya Taifa ya mwaka 2023, ambapo moja ya jukumu la Tume hiyo ni usimamizi wa uchumi nchini.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments