RAIS SAMIA AANZA KUYAISHI MAONO YAKE

 

Siku 30 zimesalia kuelekea Mkutano Mkubwa wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za  Afrika uliobeba ajenda ya upatikanaji wa haraka wa Nishati barani Afrika.

 

Mkutano huo muhimu kwa mustakabali wa mazingira ya Afrika unatarajiwa kufanyika Dar es Salaam, Tanzania na  utahudhuriwa na Marais wa nchi mbalimbali za Afrika wakiongozwa na mwenyeji wao Rais Dkt.  Samia Suluhu Hassan ambae amebeba agenda ya Nishati Safi ya kupikia Afrika.

 

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika Januari 27 & 28, 2025 katika kituo cha Mikutano Mwalimu Nyerere (JNICC ).

 

 Hii ni fursa kubwa kwa Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo, hususani katika upande wa kiuchumi kwa wafanyabiashara wanaotoa huduma mbalimbali za kijamii.

 

#KhomeinTvUpdates

 

️ Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments