Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeboresha utendaji kazi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutekeleza ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), ununuzi wa mabehewa na kuongeza vichwa vya Treni.
Jitihada hizo zimewezesha kuongeza usafirishaji wa shehena kutoka tani 340,000 mwaka 2020 na kufikia tani 1,683,994 kwa mwaka 2024.
Abiria wameongezeka kutoka abiria 444,000 mwaka 2020 na kufikia abiria 2,252,406 mwaka 2024 huku kati ya abiria waliosafirishwa mwaka 2024, abiria wa masafa marefu walikuwa 381,573, abiria mijini 1,458,384 na abiria wa SGR 412,449.
#KhomeinTvUpdates
✍️ Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments