Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mei 27, 2025, amekutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan
Aidha, Majaliwa amefanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA) Miyamoto Yoichi pamoja na ujumbe wake ambapo wamejadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji kwenye sekta za Ardhi, Miundombinu pamoja na Usafirishaji.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments