Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba leo Novemba 24, 2025 amekagua miundombinu ya usafiri wa mwendo kasi pamoja na mali nyingine zikiwemo zilizoharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 jijini Dar es Salaam.
Maeneo yaliyokaguliwa ni pamoja na Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo kimara baruti, vituo vya mwendo kasi vya Kimara Korogwe na Kimara Mwisho pamoja na kituo cha Mafuta cha Rupees kilochopo Kimara Stop Over.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu-Dsm
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments