JESHI LA POLISI KATAVI LAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KWENYE UTALII

 

Hatua ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutangaza utalii wa nchi kimataifa kupitia filamu ya The Tanzania Royal Tour, imeungwa mkono na Mtandao wa Polisi wanawake mkoani Katavi.

 

Mtandao huo umefanya ziara leo Disemba 21,2024 kwenye  hifadhi ya Taifa ya Katavi lengo likiwa ni  kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kupitia filamu aliyoicheza ya Royal Tour. 

 

Wamefanya hivyo kwa lengo la kujionea pamoja na kuvinadi vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika hifadhini hiyo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments