MBOWE APONGEZA MARIDHIANO YA RAIS SAMIA

 

Moja ya mambo magumu kufanywa na wanasiasa wengi wa upinzani nchini ni kupongeza kitu kizuri kinachofanywa na Serikali ama Chama tawala.

 

Hali imekuwa tofauti kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe.

 

Bila kutafuna maneno Mbowe amepongeza jitihada za maridhiano ya kisiasa zilizofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuingia madarakani.

 

Mbowe amesema kuwa maridhiano yalikuwa na faida kwa chama hicho na 

Miongoni mwa faida hizo ni wanachama waliokuwa uhamishoni kurejea nchini na kufutiwa kesi zao ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe.

 

 Ameitaja faida nyingine ya maridhiano ni kuondolewa kwa makatazo ya mikutano ya hadhara.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments