Hatua ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kutangaza utalii wa nchi kimataifa kupitia filamu ya The Tanzania Royal Tour, imeungwa mkono na Mtandao wa Polisi wanawake mkoani Katavi.
Mtandao huo umefanya ziara leo Disemba 21,2024 kwenye hifadhi ya Taifa ya Katavi lengo likiwa ni kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kupitia filamu aliyoicheza ya Royal Tour.
Wamefanya hivyo kwa lengo la kujionea pamoja na kuvinadi vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika hifadhini hiyo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments