Fedha haramu ni janga linaloitesa dunia, ukweli wa hilo umemfanya Rais Samia Suluhu Hassan kumteua Majaba Magana kuwa Kamishna wa Kitengo cha Kudhibiti Fedha Haramu (FIU).
Magana anachukua nafasi ya Fatma Simba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka Disemba 13, 2024, kabla ya uteuzi huo Magana alikuwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja Wakubwa katika Benki ya Azania.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments