Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha huduma za kibingwa katika Hospitali za Rufaa za Mikoa ambapo Jumla ya Madaktari Bingwa 317 katika fani nane (8) za kipaumbele wanapatikana katika hospitali hizo hadi kufikia Juni 2024.
Katika eneo la huduma za kibingwa, Wananchi wengi walifikiwa na huduma hiyo ambapo kwa Afya ya Uzazi wanawake 78 walifikiwa, Watoto 55 walifikiwa na Upasuaji 54.
Kwa tiba ya magonjwa ya ndani walifikiwa watu 38, Tiba ya Mifupa na Ajali 31, Tiba ya dharura 15, Radiolojia 34 na Tiba ya dawa za usingizi 12.
Awali huduma hizi zilipatikana kwenye hospitali za Kanda, Maalumu na Taifa pekee hali iliyolazimisha wananchi wengi kushindwa kuzifikia.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments