Katika kipindi cha Januari hadi Juni 2024, vituo vya kutolea huduma za afya vimeongezeka kutoka 9,366 Disemba 2023 hadi kufikia 9,826 Juni 2024 sawa na ongezeko la asilimia 4.9 ambayo ni jumla ya vituo 460.
Ongezeko la vituo vya kutolea huduma za afya nchini limewezesha kusogeza huduma za afya karibu zaidi na wananchi kama inavyoelekeza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025.
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments