Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeendelea kuimarisha na kuboresha upatikanaji wa vifaa tiba na uchunguzi wa magonjwa makubwa na madogo lengo likiwa ni kuendelea kutoa tiba stahiki kulingana na ugonjwa katika hospitali mbalimbali nchini.
Katika kipindi cha miezi saba kuanzia Januari -Juni 2024, jumla ya wagonjwa 531,861 walipatiwa huduma za uchunguzi wa magonjwa mbalimbali.
Kwa mujibu wa takwimu kutoka wizara ya afya Wagonjwa waliotumia MRI ni 28,877, CT SCAN 38,778, Ultra Sound 237,201 na Digital X-Ray 227,005.
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments