RAIS SAMIA KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA NA WAOKOAJI GHOROFA LA KARIAKOO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa halfa ya chakula cha mchana pamoja na washiriki wa zoezi la uokoaji wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa eneo la Kariakoo leo tarehe 30 Januari, 2025 Ikulu Jijini Dar es Salaam.


 


Aidha jengo la ghorofa kariakoo liliporoka tarehe  16 Novemba, 2024 ambapo Mhe Rais Dkt Samia alifika katika eneo la Kariakoo Jijini Dar es salaam November 20,2024 muda mfupi baada ya kurejea kutoka Brazil, ambapo alikagua shughuli za uokoaji na kisha kuongea na Wananchi.





#KhomeinTvUpdates 

 

✍️ Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments