MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AUNADI MKUTANO WA EAPCE 25

 


Mteule wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameunadi mkutano wa EAPCE 25 katika Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari wenye lengo la kuzungumzia mafanikio kwenye sekta ya nishati.

 

Mkutano huo utafanyika Machi 5 hadi 7, 2025 kwenye ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam na kushirikisha nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

✍️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv


Post a Comment

0 Comments