Kupitia mpango wa Shule bora, Serikali ya Awamu ya Sita inayoongonzwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na wadau wa elimu imekabidhi vyumba vya madarasa 18 na kutoa Tuzo za waandishi mahiri wa habari za mradi wa shule bora.
Hafla hiyo imefanyika Februari 06, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma.
Aidha, Madarasa hayo yamekamilishwa kwa ufadhili wa mradi wa Shule bora kutoka taasisi ya uk_aid na kukabidhiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa mkoani humo.
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments