“Nawatakia nyote kheri ya Sikukuu ya Eid al-Fitr. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema aliyetubariki kuifikia na kuikamilisha Ibada ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani aendelee kutusimamia na kutufanikisha.
Tusherehekee kwa amani, umoja, upendo na utulivu. Tuendelee kudumu katika ibada na kumuomba Mwenyezi Mungu aendelee kulijaalia Taifa letu umoja, amani na mshikamano; atuepushe na yote yenye nia ya kutugawa na azidi kutujaalia baraka zake.”
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwenda kwa Watanzania hususani Waislamu ambao leo hii Machi 31, 2025 wanasherehekea sikukuu ya Eid EL-Fitr.
#KhomeinTvUpdates
✍️Juma Mohamed
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments