Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza viongozi wa chama na serikali kumzika Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yaliyofanyika nyumbani kwake kijijini Chomvu, Usangi Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro Mei 13, 2025.
Aidha, Rais Samia katika mtandao wake wa kijamii yaani 'WhatsApp' ameonyesha masikitiko yake, kwa kuandika; "Buriani mzee wetu na kiongozi wetu, Hayati Cleopa David Msuya."
Hayati Mzee Msuya amefariki dunia Mei 7, 2025 na kuzikwa Mei 13, 2025 akiwa na umri wa miaka 94.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments