Katika hatua inayoakisi dhamira ya kweli ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wafanyakazi wa umma nchini wamepata faraja na matumaini mapya kupitia ongezeko la asilimia 5.5 la mishahara lililotekelezwa rasmi kuanzia Julai 24, 2025.
Watumishi wa umma nchini wameonekana wakifurahia hatua hii ya kihistoria, wakielezea shukrani zao kwa Rais Samia ambaye kwa vitendo ameonyesha kuwa anasimama bega kwa bega na watumishi wa Taifa hili.
Hatua hii imekuja sambamba na ongezeko la ukuaji wa uchumi wa Taifa, mafanikio ambayo ni zao la juhudi kubwa za watumishi katika sekta mbalimbali. Hii ni ishara tosha kuwa Kazi Inaendelea, na kwa mara nyingine tena, Rais Dkt. Samia ameonyesha kuwa anawaona na kuwathamini wale wanaoijenga nchi kila siku.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments