SERIKALI YAONGEZA KASI UTOAJI VITAMBULISHO VYA NIDA

 

Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza idadi ya vitambulisho vya Taifa vya NIDA vilivyotolewa kwa wananchi. 

 

Hadi kufikia mwezi huu wa Disemba jumla ya vitambulisho vya Taifa 14,837,310 vilizalishwa na hivyo kuongeza uzalishaji wa vitambulisho kutoka 6,885,569 vilivyokuwa vimezalishwa hadi mwaka 2020 na kufikisha jumla ya vitambulisho 21,722,879 vilivyozalishwa mwaka 2024.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments