Miongoni mwa Wafanyabiashara waliotunukiwa Tuzo za Mlipakodi Bora kwa mwaka 2023/2024, zilizotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 23, 2024 jijini Dar es Salaam, ni pamoja na Wafanyabiashara wa Mtwara ambao ni Yusuf Bakari Mbaki na Jumbe Bakari.
Hafla hiyo imeongozwa na mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.
#KhomeinTvUpdates
✍️ Juma Mohamed
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments