Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kutekeleza ujenzi wa miradi mbalimbali ikiwemo katika sekta ya afya ambapo ujenzi wa ghala la kuhifadhi bidhaa za Afya umekamilika kwa asilimia kubwa.
Waziri wa Afya Jenista Mhagama Februari 6, 2025 amekagua ghala hilo la kuhifadhi bidhaa za Afya linalotarajiwa kuzinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Aprili, 2025.
Jengo hilo linalojengwa na Bohari ya Dawa kanda ya Dodoma (MSD) lina ukubwa ya Sqm 7,200 na kugharimu zaidi ya shilingi bilioni 23.7.
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments