Maonesho katika Kongamano ya Wiki ya Ubunifu yameanza rasmi katika Kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Mwl. Julius Nyerere (JNICC) Mei 12 na yanatarajiwa kumalizika Mei 16, 2025.
Kongamano hilo hufanyika kila mwaka, na kauli Mbiu ya mwaka huu ni: “Ubunifu kwa Maendeleo Bora.”
Katika maonesho hayo, TCRA inatoa elimu mbalimbali ikiwemo kuhusu rasilimali za mawasiliano zinazotolewa kwa wabunifu chipukizi katika sekta ya Mawasiliano, Usalama mtandaoni pamoja na elimu ya leseni kwa wakezaji katika sekta ya Mawasiliano.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments