Wizara ya Nishati chini ya uongozi wa Waziri mwenye dhamana Dkt. Doto Biteko, imeshiriki Wiki ya Nishati Jadidifu 2025 inayoendelea Mei 28,2025, jijini Dar es Salaam.
Wadau na Wageni mbalimbali wamehudhuria maonesho hayo, aidha wadau hao wametembelea Banda la Wizara na kupata elimu juu ya masuala mbalimbali ikiwemo umeme na Nishati Jadidifu.
Wiki ya Nishati Jadidifu inafanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Mwalimu Julius Nyerere (JNICC).
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments