Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehani msiba wa Baba Mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai 16, 2025 na kuzikwa Julai 21, 2025 Kijijini kwake Bitoto, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments