Tume Huru ya Taifa Uchaguzi (INEC) imewataka wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya Mikoa , Kata na Jimbo kuhakikisha wanahepuka kuwa chanzo cha malalamiko kutoka kwa vyama vya siasa kwa kuzingatia mwongozo wa kusoma Katiba,sheria na kanuni ili uchaguzi uwe huru na haki.
Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Kisheria Tume Huru Taifa ya Uchaguzi (INEC)Mtibora Seleman wakati akifungua mafunzo kwa waratibu wa uchaguzi ngazi za Mikoa,wasimamizi wa uchaguzi,wasimamizi wasidizi ngazi ya Jimbo sambamba na maafisa uchaguzi na manunu.
Seleman amesema wapo wadau na viongozi wa serikali mkazingatie haki yao na wajibu wao na kuhepuka majibu mabaya.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu-Mbeya
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments