Wananchi wa Jimbo la Uyole Mkoani Mbeya wamemchukulia fomu ya kuwania Ubunge Dkt. Tulia Ackson katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2025 wa kuchagua nafasi ya Rais, Wabunge na Madiwani
Akizungumza leo Jumamosi Juni 282,2025, baada ya kumchukulia fomu hiyo mkazi wa Jimbo la Uyole , Adil Mwansepele ametaja sababu iliyo wasukuma kumchukulia fomu ni baada ya kuona utendaji wake wa kazi katika kipindi cha miaka mitano.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu-Mbeya
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments