RAIS SAMIA AMPONGEZA MFALME NARUHITO KUTIMIZA MIAKA 65

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza na kumtakia heri ya siku ya mfanano wa siku yake ya kuzaliwa Mfalme Naruhito wa Japan.

 

Katika mtandao wake wa kijamii Rais Samia

ameandika,

 

"Kwa niaba ya Serikali na watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwa niaba yangu mwenyewe, napenda kukutumia salamu za dhati Mtukufu Mfalme Naruhito, Mfalme wa Japan, katika tukio hili la kuadhimisha sikukuu ya miaka 65 ya kuzaliwa kwako,

 

Naomba utawala wako uendelee kuwa na mafanikio na ustawi katika nyanja zote, huku ukiendelea kuiongoza nchi yako kwa nguvu, maendeleo na mafanikio katika miaka ijayo" Rais Samia.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

 Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

 



Post a Comment

0 Comments