MAJALIWA KUZINDUA MPANGO WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Aprili 3, 2025 atazindua Maandalizi ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II). 


Mpango huo utawezesha kuvutia uwekezaji wa nje na ndani, kusaidia kuongeza fursa za ajira, kuwezesha upatikanaji wa soko la kimataifa kwa bidhaa za ndani pamoja na kukuza ushindani na ubora wa bidhaa. 


Tukio hilo linafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Dar es Salaam.

#KhomeinTvUpdates 

 

✍️Ofisi ya W.M

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments