Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA (T) Musa Nassoro Kuji, ameshiriki shughuli za hitimisho za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijiji Dodoma, Juni 27, 2025.
Rais Samia amehutubia Taifa saa tisa alasiri jijini humo na kufunga rasmi shughuli za Bunge hilo.
Kamishna Kuji ni miongoni mwa viongozi wa taasisi mbalimbali za umma walioalikwa kushuhudia tukio hili muhimu linaloashiria hitimisho la kipindi cha miaka mitano ya Bunge la 12, kabla ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments