MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAADHIMISHO YA MIAKA 10 YA WCF

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Julai 04, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya miaka kumi ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

 

Maadhimisho hayo yana lengo la kutathmini mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi cha miaka kumi, kuonesha mshikamano kati ya wadau na kuweka mikakati ya kuboresha huduma za fidia kwa wafanyakazi nchini.

 

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni Miaka kumi ya Fidia kwa Wafanyakazi-Kazi Iendelee.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

✍️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv


Post a Comment

0 Comments