Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdallah Mwaipaya, akiwa na kamati ya usalama ya Wilaya, ametembelea na kukagua maeneo yaliyopatwa na atahari za Mvua iliyonyesha kuanzia usiku wa Februari 3 na 4 mwaka huu, katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Mvua hiyo imesababisha baadhi ya maeneo ndani ya manispaa hiyo kufurika maji na kuingia kwenye makazi ya watu, huku maeneo mengine kuharibu miundombinu ya barabara na baadhi ya makazi.
✍️ Juma Mohamed-Mtwara
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments