YANGA YAVUNJA MKATABA NA KOCHA MKUU RAMOVIC|YABEBA KOCHA WA SINGIDA BLACK STARS

 

Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam Tanzania, imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wao Mjerumani Sead Ramovic na msaidizi wake Mustafa Kadro, kwa kile kilichoelezwa ni makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba.

 

Wakati huohuo Yanga imemtangaza Miloud Hamdi, kocha wa Singida Black Stars kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo kuchukua nafasi ya Ramovic.

 

#KhomeinTvUpdates

 

✍️ Juma Mohamed

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments