IRINGA WAPONGEZA UTENDAJI WA RAIS SAMIA


 Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba, amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na kazi kubwa aliyoifanya nchini kwa kipindi chote cha miaka minne ya utawala wake.

 


Serukamba ametoa shukrani hizo kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo ambao kwa kipindi cha miaka minne ya utawala wa Rais Samia wameshuhudia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta ya Afya, Elimu, Maji na Miundombinu.

 

#KhomeinTvUpdates 

 

✍️Mwandishi wetu

 

PIA USIACHE KU SUBSCRIBE

CHANEL YETU Khomein TV

YOUTUBE UWE WA KWANZA 

KUFIKIWA NA HABARI ZETU

 

Follow Insta & Threads @khomeintv_

Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok

@khomeintv na Facebook Khomein Tv

Post a Comment

0 Comments