Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya.
Rais Dkt. Samia amewasili mkoani humo leo Mei 12, 2025 na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali, ambapo kesho Mei 13, 2025 atashiriki maziko ya Hayati Mzee Cleopa Msuya, yatakayofanyika kijijini kwake wilaya ya Mwanga. 
✍️Juma Mohamed
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA 
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments