Mwanasiasa kijana na mfanyabiashara maarufu, Abubakar Ally Abubakar, almaarufu Boka Pharmacy, ameonyesha dhamira yake ya kuwania nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni kwa kurudisha rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapunduzi - CCM.
Akizungumza mara baada ya kurejesha fomu, Abubakar amesisitiza kuwa lengo lake kuu ni kumsaidia Rais Samia na kuwatumikia wananchi wa Kigamboni ikiwa ni pamoja na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii.
#KhomeinTvUpdates
✍️Mwandishi wetu
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
0 Comments